Jenerali wa kikosi maalum cha Qudsi wa Iran auawa katika shambulizi la jeshi la Marelani mjini Baghdad
Jenerali wa kikosi maalum cha Qudsi wa Iran auawa katika shambulizi la jeshi la Marelani mjini Baghdad.
Jenerali Süleymani , jenerali wa jeshi la Iran ameuawa katika shambulizi la jeshi la Marekani mjini Baghdad nchini Irak.
Shambulizi dhidi ya jenerali huyo limetekelezwa muda mchache baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mjini Baghdad.
Wizara ya ulinzi ya Marekani Pentagon imefahamisha katika taarifa iliochapishwa imefahamisha kwamba jenerali Qassim Süleyman , mmoja miongoni mwa majenerali muhimu wa jeshi la Iran.
Jenerali huyo amehusishwa na maandamano yaliopelekea kuvamiwa na uharibifu katika ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
Maandamano makubwa dhidi ya Marekani yalifanyika mjini Baghdad hadi katika ubalozi wake mjini Baghdad mwanzoni mwa wiki.
Taarifa hiyo ya Pentagon amesema kuwa shambulizi la kombora lilimlenga jenerali Qasem Soleimani moja kwa moja.
Qasem Soleimani anahusishwa pia na shambulizi lililopelekea kuuawa kwa raia wawili, mmoja akiwa raia wa Marekani na mwingine wa Marekani Disemba 27.
Kwa upande wake Iran imefahamisha kulipiza kifo cha jenerali wake
No comments:
Post a Comment
yes by message