Saturday, 2 January 2016

GENERAL NEWS Upo Dar na ungependa kwenda cinema leo JAN 2 ? ratiba iko hapa…

The Last Witch Hunter ni movie mpya iliyochezwa na staa Vin Diesel itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali, kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie hii, kama upo unaweza kuchagua muda wako pa kwenda kuangalia kati ya majumba ya Cinema Dar es salaam Mlimani City, Oysterbay au Quality Center.



No comments:

Post a Comment

yes by message

HABARI

Fahamu matukio matano mabaya zaidi viwanjani yaliyoua mamia ya watu

  CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Raia wa Indonesia wanataka majibu ya moja ya maafa mabaya zaidi katika historia ya mchezo huo duniani, baad...